Msaada: Bell pepper ( pilipili hoho) kwenye soko la jumla inauzwaje?

Msaada: Bell pepper ( pilipili hoho) kwenye soko la jumla inauzwaje?

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Niaje wakuu.

Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?

capsicum-image.jpg
 
Unayo Hiyo hoho?
kama ndiyo mwaga Data tununue
 
hiyo nimejaribu kwanza nione sio ya kuuza.ila ndo naanda eneo la kufanyia iyo kazi
Okay Kila La kheri Bei ya Leo siyo Bei ya kesho
unaeza vuna ukakutana na mafuriko bei inakua chini
au ukavuna ukakuta soko lipo tupu..unahesabu manoti tu.

Nazitafuta sana hizi na pilipili mwendokasi
 
Usikatishwe tamaa hoho siyo mahindi useme unavuna Mara moja,
mimi siwez kukata tamaa maana mpk dk hii 90% ya maandalizi tyr..kuna baadhi waliniambia nilime tangawzizi lkn baaa ya kufanya uchunguzi wangu nikaona bora hoho maana haijawai kukosa thaman sokon .hoho hta iwe nyingi kiasi gan lazima utanunua hoho moja 100 tena gengeni..
 
Tangawizi nayo haishuki thaman Ila Muda
hoho kwenye muda ni Bora zaidi
 
Tangawizi nayo haishuki thaman Ila Muda
hoho kwenye muda ni Bora zaidi
tangawizi nackia mpka miez 9 kuna mtu amepatanda toka mwaka jana naona sasa ndo imeanza kukauka ili kwaio siku si nyingi anavuna ila atapiga hela sana
 
Back
Top Bottom