Okay Kila La kheri Bei ya Leo siyo Bei ya keshohiyo nimejaribu kwanza nione sio ya kuuza.ila ndo naanda eneo la kufanyia iyo kazi
Usikatishwe tamaa hoho siyo mahindi useme unavuna Mara moja,hahaha kwan we icho unachokifanya nani kakudanganya
mimi siwez kukata tamaa maana mpk dk hii 90% ya maandalizi tyr..kuna baadhi waliniambia nilime tangawzizi lkn baaa ya kufanya uchunguzi wangu nikaona bora hoho maana haijawai kukosa thaman sokon .hoho hta iwe nyingi kiasi gan lazima utanunua hoho moja 100 tena gengeni..Usikatishwe tamaa hoho siyo mahindi useme unavuna Mara moja,
Tangawizi nayo haishuki thaman Ila Mudamimi siwez kukata tamaa maana mpk dk hii 90% ya maandalizi tyr..kuna baadhi waliniambia nilime tangawzizi lkn baaa ya kufanya uchunguzi wangu nikaona bora hoho maana haijawai kukosa thaman sokon .hoho hta iwe nyingi kiasi gan lazima utanunua hoho moja 100 tena gengeni..
Tangawizi ni kama mimba.tangawizi nackia mpka miez 9 kuna mtu amepatanda toka mwaka jana naona sasa ndo imeanza kukauka ili kwaio siku si nyingi anavuna ila atapiga hela sana