serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Habari wakuu...
Nimepata wazo la kufanya biashara ya Glass and aluminium ili niweze kutengeneza na ku supply madirisha, milango, curtains na bidhaa nyingine zinazohusika na hizo materials.
Ninachoomba kwenu wadau ni kama ifuatvyo:
NB. I have a special interest kwenye hii sekta ya ujenzi.

- Taarifa juu ya upatikanaji wa malighafi -aluminum, glass
- Vitu gani muhimu natakiwa kuwa navyo ili niweze kufungua workshop yangu?
- Ni aina gani za aluminium ziko sokoni kwa sasa?
- Je, mtaji wa milioni 6 utanifikisha wapi?
- Soko la hii biashara likoje?