Msaada: Biashara ya Glass and Aluminium

Msaada: Biashara ya Glass and Aluminium

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,340
Reaction score
4,734
Habari wakuu...

Nimepata wazo la kufanya biashara ya Glass and aluminium ili niweze kutengeneza na ku supply madirisha, milango, curtains na bidhaa nyingine zinazohusika na hizo materials.

Ninachoomba kwenu wadau ni kama ifuatvyo:
  • Taarifa juu ya upatikanaji wa malighafi -aluminum, glass
  • Vitu gani muhimu natakiwa kuwa navyo ili niweze kufungua workshop yangu?
  • Ni aina gani za aluminium ziko sokoni kwa sasa?
  • Je, mtaji wa milioni 6 utanifikisha wapi?
  • Soko la hii biashara likoje?
Naomba mwenye experience ya kutosha juu ya hii biashara anisaidie. Nashukuru sana.

NB. I have a special interest kwenye hii sekta ya ujenzi.
 
Mkuu serio hii bizneee iko very promising sana, kuhusu upatikanaji wa material ni rahisi sana wala haisumbui.

Kwa hiyo millioni 6 kanunue mashine pamoja na vitendea kazi vingine,
Pia tengeneza na sample zako kadhaa kwa ajili ya kuwaonesha wateja alafu baada ya hapo anza door to door marketing kwa kutembelea site mpya zinazoendelea kujengwa hapo utakuwa unachukua contacts za clients.

Work hard baadae utarudi unacheka mwenyewe hapa jukwaani
 
Nashukuru sana mkuu.. Hilo la promising market nimeliona. Ingawa nilikua na mashaka juu ya ubora wa materials ambazo zimesambaa kariakoo.. Kuna supplier mzuri anaye aminika unayemjua?
Kuhusu kutembelea sites zinazoendelea, nashukuru sana hilo nitalifanyia kazi...
 
Ninao wengi sana wa kuaminika hapa kkoo
 
Na ukihitaji kutengenezewa vitabu vya kampuni yako mpya usisite kunijuza mkuu kila la kheri
Nashukuru sana mkuu.. Hilo la promising market nimeliona. Ingawa nilikua na mashaka juu ya ubora wa materials ambazo zimesambaa kariakoo.. Kuna supplier mzuri anaye aminika unayemjua?
Kuhusu kutembelea sites zinazoendelea, nashukuru sana hilo nitalifanyia kazi...
 
Mkuu serio hii bizneee iko very promising sana, kuhusu upatikanaji wa material ni rahisi sana wala haisumbui.
Kwa hiyo millioni 6 kanunue mashine pamoja na vitendea kazi vingine,
Pia tengeneza na sample zako kadhaa kwa ajili ya kuwaonesha wateja alafu baada ya hapo anza door to door marketing kwa kutembelea site mpya zinazoendelea kujengwa hapo utakuwa unachukua contacts za clients.
Work hard baadae utarudi unacheka mwenyewe hapa jukwaani

Machine ya aina gani? mimi nimeona mtu kazi yake kutengeza hayo madirisha pale ilala, machine kubwa ni mitre saw, drill
 
Habari wakuu...

Nimepata wazo la kufanya biashara ya Glass and aluminium ili niweze kutengeneza na ku supply madirisha, milango, curtains na bidhaa nyingine zinazohusika na hizo materials.

Ninachoomba kwenu wadau ni kama ifuatvyo:

  • Taarifa juu ya upatikanaji wa malighafi -aluminum, glass
  • Vitu gani muhimu natakiwa kuwa navyo ili niweze kufungua workshop yangu?
  • Ni aina gani za aluminium ziko sokoni kwa sasa?
  • Je, mtaji wa milioni 6 utanifikisha wapi?
  • Soko la hii biashara likoje?

Naomba mwenye experience ya kutosha juu ya hii biashara anisaidie. Nashukuru sana.

NB. I have a special interest kwenye hii sekta ya ujenzi.
Upo wapi mkuu,
Kama upo Dar, njoo mwenge msikitini kuna mchina hapa anafanya hayo mambo. Sasa kuna kijana wake ambaye ndoo kama vile msaidizi nitakuunganisha nae akupe details.
 
Moja ya vifaa vya kufanyia kazi tafuta mitre saw
 
Attachments

  • 1449148871515.jpg
    1449148871515.jpg
    19.7 KB · Views: 557
Kwanza ujue haina ya profile za aluminium pia itakusaidia pia mtazamo tu
 
Hii biashara ya aluminium profile hata mm Nina interest nayo sana pia nmeshafanikiwa kufanya research kwa suppliers na masoko bt changamoto ni frem kwaajil ya kuuzia na kitengenezea
 
Wewe Qs.....

Did you manage to start a workshop....?
Hapana mkuu.. Am into something bigger and more promising.. Nitaendelea Ku subcontract Kazi za aluminium.....
 
Back
Top Bottom