Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,
Nina wazo la kufanya biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia basi ndogo aina ya Costa ambayo nategema kufanyia mkoani lakini bado nafanya utafiti nijue ni route ipi nzuri hasa itakayo kua na Barabara ya lami
Naomba kujua mambo yafuatayo kutoka kwa wazoefu wa hii biashara
1.Bei ya Costa hasa(Nissan Civilian) ni kiasi gani kwa kununua hapa nchi au kuagiza na inakua imetembea kama ngapi?
2.Costa hii ina uwezo wa kubeba wastani wa watu wangapi(level seat)? Na vipi kuhusu uimara wake
3.Gharama za kulipia bima na usajili kwa ajili ya kutumia kwa biashara ni kiasi gani
4.Kwa route ya kwenda km 100 naweza kuingiza kiasi gani kama itaenda Mara 2 kwa siku ukitoa gharama za mafuta nk
5.Pia kwa hapa Dar Costa ya namna hio inalaza sh.ngapi kwa siku?
6.Chochote ninachohitaji kujua kuhusu biashara hii ikiwemo changamoto zake kwani sijawahi kabisa kuifanya
N:B
Safari ya km 100+makadirio ya nauli ni sh. 5000
Karibuni kwa msaada wa mawazo
View attachment 1079420
Bei ya Tipper ni kiasi gani?Kama bado ujanunua hyo gari nakushauri nunua Fuso (Tipper) iwe inabeba mchanga kibaha inaleta dar mbezi hesabu kwa siku laki had laki na 20, inalipa sana ukipata dereva mzuri au ukiwa unaendesha mwenyewe inaweza ikakaa had miaka 6 bado mbichi
Bei ya Tipper ni kiasi gani?
Du poa mkuu huko sina uwezo napo
Ni mojawapo ya vitu nilivyouliza hapo juu na majibu ya wadau yanaonesha ni kati ya 30 had 40M na used hadi 19M
Mkuu zingatia sana hiki kilichosemwa hapa.Mkuu nashukuru kwa kuchangia na kuja na wazo mbadala lakini nina maswali kadhaa
1.Nini changamoto za biashara niliyoweka hapo juu ili hata nikiamua kuachana nayo kama ulivyoshauri niwe nimepata majibu ya kile nilichouliza na hizo changamoto hakuna namna ya kukabiliana nazo?
2.Ni kweli biashara inaweza isiwe mpya lakini bado uhitaji wake ukawa mkubwa hasa maeneo ya vijijini huduma kama afya na usafiri bado tuachane nazo?
3.Umesema huduma ya kukusanya takataka lakini kumbuka huduma hii ipo mjini tu,huko vijijini hakuna hii huduma maana watu huchimba mashimo na kuzichoma,huku mjini pia inahitaji mtaji mkubwa kwa ajili ya vifaa vya kazi tofaut na mtaji mdogo tofauti na mtaji nilionao Mimi?
Mwisho nakushukuru kwa mchango wako wa mawazo mbadala ingawa pia hujaweka mchanganuo na changamoto ya kila mojawapo maana siamini kama kuna biashara isiyo na changamoto kabisa
Nimezingatia na ndio maana nikamuuliza maswali ya muhimu hapo juu,maana hata vitu vipya pia vina changamoto ambazo baadhi unaweza kuzijua lakini zingine unaweza usizijue kutokana na upya wakeMkuu zingatia sana hiki kilichosemwa hapa.
Yaani jamaa Ana akili nyingi Kama zangu.
Mimi mwenyewe huwa nahofia sana kuingiza pesa kwenye biashara hizi common ambazo kila mtu anazifanya.
Huwa napenda ideas mpya Kama hizi hata watu wakija kuziiga unakuta ushatajirika tayar.
Hata wachina wanaokuja huku huwa wanatoboa kwa staili hyo.
Biashara ni kukabili changamoto, hicho kilimo unachodhan ni salama kuna rafiki yangu mmoja kapata hasara ya mbolea peke yake mil17 mwaka huu tu, baki mbegu, manpower maandalizi na maandalizi ya shamba,Ungeomba ushauri KABLA hujanunua hiyo gari, Mimi ningekushauri uachane na hiyo biashara na uwekeze kwenye kilimo!
Ni kweli mkuu changamoto kila mahali,hakuna biashara isiyo na changamoto,cha muhimu ni kujua mbinu za kuzikabiliBiashara ni kukabili changamoto, hicho kilimo unachodhan ni salama kuna rafiki yangu mmoja kapata hasara ya mbolea peke yake mil17 mwaka huu tu, baki mbegu, manpower maandalizi na maandalizi ya shamba,
Hizi ni gharama za kila kitu hadi kuisajili kwa biashara?Nissani civilian toka japan ni kuanzia 38M
Coaster mayai kuanzia 45M
Coaster box ( with 14B engine) kuanzia 55M.
Rosa kuanzia 30M
Mpe pole rafikiyo! Nimeongea kutokana na uzoeafu ktk biashara zote hizo! Mimi baada ya kufanya biashara ya usafirishaji ikaniangusha! Lakini kilimo kikaniinua! Hiyo nimemshauri kama alivyo omba sijamlazimisha! Na kilimo nilicho ongelea NI cha kitaalamu sio hiki cha kutegemea mvua!Biashara ni kukabili changamoto, hicho kilimo unachodhan ni salama kuna rafiki yangu mmoja kapata hasara ya mbolea peke yake mil17 mwaka huu tu, baki mbegu, manpower maandalizi na maandalizi ya shamba,
Habari wakuu,
Nina wazo la kufanya biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia basi ndogo aina ya Costa ambayo nategema kufanyia mkoani lakini bado nafanya utafiti nijue ni route ipi nzuri hasa itakayo kua na Barabara ya lami
Naomba kujua mambo yafuatayo kutoka kwa wazoefu wa hii biashara
1.Bei ya Costa hasa(Nissan Civilian)ni kiasi gani kwa kununua hapa nchi au kuagiza na inakua imetembea km ngapi?
2.Costa hii ina uwezo wa kubeba wastani wa watu wangapi(level seat)?na vp kuhusu uimara wake
3.Gharama za kulipia bima na usajili kwa ajili ya kutumia kwa biashara ni kiasi gani
4.Kwa route ya kwenda km 100 naweza kuingiza kiasi gani kama itaenda Mara 2 kwa siku ukitoa gharama za mafuta nk
5.Pia kwa hapa Dar Costa ya namna hio inalaza sh.ngapi kwa siku?
6.Chochote ninachohitaji kujua kuhusu biashara hii ikiwemo changamoto zake kwani sijawahi kabisa kuifanya
N:B
Safari ya km 100+makadirio ya nauli ni sh. 5000
Karibuni kwa msaada wa mawazo
View attachment 1079420
Nimekupata mkuu,lengo hasa ni gari moja tu kama ni Nissan Civilian kwakua sijawa na uwezo wa zaidi ya hapo maana bajeti niliopigia kichwani ni 30M so sijajua maana hapo juu hujaweka makadirio ya bei kwa kila moja lakini nashukuru nimepata mawazo yakoBiashara yoyote inayohusisha chombo Cha moto mtaji wa kwanza kabisa ni kuwa wewe mwenyewe uyajue hayo magari, yaan mechanically uwe at least una idea nayo
Kama Huna idea kabisa jitahidi msimamizi wako awe nayo,, ukiingia kwenye biashara hiyo huku Huna abcd zake utakuja juta Sana, fundi tu anaweza akakuingiza chaka na ukapotea kabisa, bado dereva na kondakta wake, bado trafiki n. K
Mtoa Mada nilivokusoma tu bado unatakiwa uyajue vizuri hayo magari or else utapotea kwa hasara, kukupa mwanga tu daladala mitumba kuna Aina kama tatu ninazozijua
1 Toyota coaster hii nzuri na imara ila ghali
2 Nissan civilian hii ni cheap ila spea ghali na manunuzi ni poa
3 Mitsubishi Rosa, hii iliwahi kudharaulika Sana mwanzoni lakini ni imara tu na haina bei kali ya manunuzi
Unpoanza biashara ya Gari jaribu kuwa na tools za bei chee ili ikue haraka na kutawanya risks, mathalan badala ya kununua Costa la mil 70 kwa nini usinunue Rosa 2 bei hiyo hiyo?