Msaada: Biashara yangu inapata Mauzo hafifu

Msaada: Biashara yangu inapata Mauzo hafifu

biashara ya nguo siku hizi ni MTANDAONII NDUGU YANGUUU kama una ofisi ondoa shaka jiongezee funguaa account insta...fb uwe unapiga picha unapost yani utawapata tu wakitaka kuja ofisini unawaelekeza ila usiuzee mironyooo sanaa..!! na uwe muaminifu tu kwa wateja...kule sinza frame kubwa huoni mteja akiingia hata masaa matatu pamepoaa balaaa ila boda wanaenda kupeleka delivery za kutosha. JIONGOZE USIKIMBIE FRAME
Unakuta kafungua na kulipa Kodi laki tano Ila uoni mtu akiingia dukani siku nzima ila kila siku yupo
 
badilisha bidhaa! Tathmini walaji wanataka nn
Mm nilifanya hvyo nilifungua duka la vifaa vya umeme mahali fln ddm kumbe ktk mitaa hyo wanataka vifaa vya ujenzi nilianza kubadili taratibu nikaanza kuuza vifaa vya ujenzi siku hz mauzo syo haba kwa Kweli tofauti na mwanzo nakah week zijauza chochote ila Sasa HV aisee Niko vzr pesa naona na Sasa nataka niwawekee wall puttin za jk

Hvyo Ni Bora acheki Ni kipi kinatakiwa ktk eneo Hilo
 
Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?

Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha sijafikia hata nusu ya gharama za mzigo.
Hili ni tatizo kubwa, Watu wengi wameacha biashara kwa kuhisi wamerogwa au wana gundu.
 
Kuku wa kienyeji wana ubaya gani?
Kaka mm nimefanaya kazi tarangire lodg and [emoji554] ltd ya kampuni ya hoop hakuan hata siku Moja nimeona mzungu anashobokea vyakula vya kiafrica haswa makuku Yuko tayari kula nguruwe tena awe wa kizungu huku Israel ila siyo kuagiza kuku kianyeji tena hakna mayai wa la kuku wa kienyeji anae uzwaa ndani Lila kitu no kiasasa
 
biashara ya nguo siku hizi ni MTANDAONII NDUGU YANGUUU kama una ofisi ondoa shaka jiongezee funguaa account insta...fb uwe unapiga picha unapost yani utawapata tu wakitaka kuja ofisini unawaelekeza ila usiuzee mironyooo sanaa..!! na uwe muaminifu tu kwa wateja...kule sinza frame kubwa huoni mteja akiingia hata masaa matatu pamepoaa balaaa ila boda wanaenda kupeleka delivery za kutosha. JIONGOZE USIKIMBIE FRAME
Noted [emoji188]
 
Kaka mm nimefanaya kazi tarangire lodg and [emoji554] ltd ya kampuni ya hoop hakuan hata siku Moja nimeona mzungu anashobokea vyakula vya kiafrica haswa makuku Yuko tayari kula nguruwe tena awe wa kizungu huku Israel ila siyo kuagiza kuku kianyeji tena hakna mayai wa la kuku wa kienyeji anae uzwaa ndani Lila kitu no kiasasa
Nguruwe wa kizungu???[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuku wa kienyeji wana ubaya gani
Huko singida vijijini wanapopatikana kwa wingi hakuna vyoo so watu hujisaidia vichakani na ndo hao kuku hushinda kutwa kudonoa vinyesi vya wanyama na binadamu, kuku wa kienyeji hawatibiwi wala kupewa chanjo so ni rahisi kubeba vimelea vya magonjwa hivyo mzungu lazima azingatie while mm mmatumbi nabugia tu nnofu bila kuhoji chochote
 
hahaha hapo nimeelewa vizuri sasa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Bado matangazo yako ya nguo hayavutii, picha zimepigwa hovyo na nguo zinatangazwa kwa kuvaliwa na mtu ambae pengine zinaweza zisimkae vizuri hivyo kupoteza ule uhalisia wa mvuto wa nguo kwa wengine. Tafuta midoli ya nguo, lipia matangazo yako Insta ili ksaidia kukuza account yako.

Mbinu nyingine ya kutafuta followers ni kulipia kiais cha pesa(kutokana na mapatano) kwa watu wenye ushawishi mtandaoni ambao wapo tayari kukufanyia matangazo ili wawe wanakutag kwenye kila post zao. Watu kama yule gay LOKOLE na influencers wengine.

Biashara ni matangazo, weka kabisa budget ya kutangazia biashara yako, vinginevyo utakwama.
 
Back
Top Bottom