Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Ww wabongo huwajui….Hapo ndo unapokosea.. watu hutoka huko kwenye makazi na kwenda kununua godoro kariakoo. Ukiwapelekea iyo huduma huko unakoita kwenye makazi huoni ni rahisi kuwapata? Hivyo hivyo kwa hizo electronics?
...kuna baadhi ya wateja hatakama bidhaa inapatikana mtaani kwake, yuko radhi kwenda kariakoo. Yani hua na kaimani flaani kua huko kuna unafuu flani interms of cost minimization(reasonable cost), Quality,quantity, pia uwanja mpana wa kuchagua(freedom of choice) tofauti na akija dukani kwakoHapo ndo unapokosea.. watu hutoka huko kwenye makazi na kwenda kununua godoro kariakoo. Ukiwapelekea iyo huduma huko unakoita kwenye makazi huoni ni rahisi kuwapata? Hivyo hivyo kwa hizo electronics?
Kaka Mimi nipo dar es salaam nahitaji anzisha hiyo biashara naomba location nzuriMchele upo location gani? Nikutajie sehem ambazonunaweza weka mchele ukatoboa kirahis maana ndo bizzness yang hiyo
Kwa Nini usibaki na biashara moja au mbili unazofanya vizuri ukawa na location nzuri na usimamizi mzuri. Biashara kuwa nazo nyingi tofauti tofauti wkt management yake Bado pia inakupasua kichwa utajikuta mtaji unavuja sehemu.Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu;
Nina biashara 5;
1. Magodoro
2. Electronics
3. Mchele
4. Duka la rejareja
5. Vinywaji vya jumla.
Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya;
1. Mchele
2. Electronics
3. Magodoro
Jambo la pili ni mtaji hautoshelezi vizuri kutokana na kufeli kupata hela nilizotarajia kujazia zaidi mchele na vinywaji vya jumla na matibabu ya mdogo wangu yamenikwangua fedha.
Nashindwa kuamua niue biashara gani kuimarisha nyingine na zote nazipenda zaidi, nafeli location zaidi
kwani mitaji zimebeba sio mbaya mfano electronic imebeba about 8M, Magodoro about 7M, Mchele nina tani 4.
Naombeni msaada najitoa vipi kwenye hii hali. Sehemu inayohitaji mtaji zaidi ni vinywaji vya jumla haswa na kuna onesha mafanikio kukipewa mtaji.
Nifanyeje kujitoa kwenye hii hali. Siwezi kupata mkopo sijaajiriwa na sina nyumba.
Pia soma: Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani