Msaada: Body spray gani ni nzuri kwa mwanaume?

Msaada: Body spray gani ni nzuri kwa mwanaume?

Upo eneo gani na kama tutakazokwambia je zinapatikana huko ulipo?
 
Kama deodorant spray, mie napenda kutumia AXE Apollo. Iko na harufu flani imetulia, na haikeri. Unafeel kama umetoka bafuni kuoga na uko fresh, na harufu nzuri wastani.
 
Napenda perfume, RAMZ LATTAFA, affordable na harufu yake tuliiivu.

SUKAH
 
Ice dive japokuwa kupatikana kwake kwa manati
Iko vizuri sana hii
76633ddc9c12467b34ec72c6e17130f9_3.jpg
118943011_0_640x640.jpg
 
Kuna body spray moja kuna mtu alirecommend humu nimeinunua sio mbaya ni original from France [emoji632] ingawa siku ya kwanza kujipulizia nilipiga chafya kama 10 hivi.

Ila ipo vizuri sanq
20210829_164133.jpg
JamiiForums730034122.jpg
 
Tomford Vanilla, bei mbaya... ukispray hii perfume pisi yeyote ina turn on, anakuomba namba mwenyewe... sio body spray.. hii ni perfume...
 
Back
Top Bottom