Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
kuzijua sasaaa kule shimoni auBei inategemea na chimbo. Kuna sehemu wanauza bei nzuri sema unapaswa kuzijua.
Mie mazagazaga yote nanunua sehemu hiyo na vitu ni original at reasonable price View attachment 1914941
Mbona wewe unakunywa pombe!!oga mara mbili kwa siku huna haja ya body spray ma-kansa tu kujitafutia.
Umechanganya hio ni spray ya mdomoni!!Hii ni kwaajili ya wanaotoa harufu kwenye vikwapa View attachment 1914950
Hapana nitakutumia namba ya muuzaji kesho maana nitapita pale kuchukua body lotion. Atakuelekeza mie kuelekeza sio mtaalamkuzijua sasaaa kule shimoni au
bangeHii ni kwaajili ya wanaotoa harufu kwenye vikwapa View attachment 1914950
bange