Msaada: Changamoto na uimara wa gari hii

Iko kidude cha 1997 hivi tatizo kubwa ni kutu tu. cc1200 usiogope ulaji wa wese. Kigumu sana iko kama una tight budget kinunue.
 
Changamoto ni pale unapokuwa na abiria wengi.
Kila mara utatakiwa kubenjua kiti cha mbele ili watu wapite 'kimgongo, mgongo' kwenda kubananishwa kwenye siti ya nyuma.
Otherwise hizi ni sport version ya Starlet. Ni gari nzuri lakini zimeshakuwa outdated.
 
Ahsante
 
Dah huu usumbufu hua unanikeraga sana. Yani abiria wa nyuma wanakua kama wamejificha vile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…