speratus Christian
Member
- Aug 29, 2017
- 8
- 4
Naomba kujua hili gari changamoto zake na uimara wake, lakini pia ulaji wa mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa GRANZAgari gani hilo
Ki Starlet
Ki Azhiz
okay kwa ushauri soma review za watumiaji mtandaoniMkuu linaitwa glanza
ShkranIko kidude cha 1997 hivi tatizo kubwa ni kutu tu. cc1200 usiogope ulaji wa wese. Kigumu sana iko kama una tight budget kinunue.
Hyo hapoHebu kibebe ukigeuzie mbele tukione vizuri ki baby walker chako.
AhsanteChangamoto ni pale unapokuwa na abiria wengi.
Kila mara utatakiwa kubenjua kiti cha mbele ili watu wapite 'kimgongo, mgongo' kwenda kubananishwa kwenye siti ya nyuma.
Otherwise hizi ni sport version ya Starlet. Ni gari nzuri lakini zimeshakuwa outdated.
Yeah. Bara barani iko poa. Ni gari iliyotengenezwa kwa ajili ya kukimbia. Ndio maana ya sports car...Na viipi inaweza mudu safari za mwendo mrefu mfano dar to mwanza then to mbeya bila shida yeyote?
Dah huu usumbufu hua unanikeraga sana. Yani abiria wa nyuma wanakua kama wamejificha vile [emoji23][emoji23][emoji23]Changamoto ni pale unapokuwa na abiria wengi.
Kila mara utatakiwa kubenjua kiti cha mbele ili watu wapite 'kimgongo, mgongo' kwenda kubananishwa kwenye siti ya nyuma.
Otherwise hizi ni sport version ya Starlet. Ni gari nzuri lakini zimeshakuwa outdated.
Kwann unasema hvyo mkuu?Hizo rim ikikumwaga utajibu nini mkuu