Msaada: Changamoto na uimara wa gari hii

Joined
Aug 29, 2017
Posts
8
Reaction score
4
Naomba kujua hili gari changamoto zake na uimara wake, lakini pia ulaji wa mafuta.

1690528416460.jpg
 
Iko kidude cha 1997 hivi tatizo kubwa ni kutu tu. cc1200 usiogope ulaji wa wese. Kigumu sana iko kama una tight budget kinunue.
 
Changamoto ni pale unapokuwa na abiria wengi.
Kila mara utatakiwa kubenjua kiti cha mbele ili watu wapite 'kimgongo, mgongo' kwenda kubananishwa kwenye siti ya nyuma.
Otherwise hizi ni sport version ya Starlet. Ni gari nzuri lakini zimeshakuwa outdated.
 
Ahsante
 
Dah huu usumbufu hua unanikeraga sana. Yani abiria wa nyuma wanakua kama wamejificha vile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom