Embu nitumie hiyo barua ya napa aliyo omba tuma pm nikusaidie.Moja kwa moja..
Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ?
Naomba Msaada wakuu..
View attachment 3424520
Kila la kheri kwa dogo
Hii mbona ipo open kabsa... yaan barua ya utambulisho uliyoomba dhumuni lake hukuchagua maombi ya mkopo wa Elimu ya juu. Kwenye lengo la barua wakati unaomba unaletewa list uchague unaomba baarua ya utambulisho uitumie kwenye nn huenda ulichagua kipengele kingine pasipo kujua . Rudia kuomba barua ya utambulisho lengo chagua maombi ya Mkopo elimu ya juuMoja kwa moja..
Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ?
Naomba Msaada wakuu..
View attachment 3424520
Hpn dhumuni ameweka elimu ya juuHii mbona ipo open kabsa... yaan barua ya utambulisho uliyoomba dhumuni lake hukuchagua maombi ya mkopo wa Elimu ya juu. Kwenye lengo la barua wakati unaomba unaletewa list uchague unaomba baarua ya utambulisho uitumie kwenye nn huenda ulichagua kipengele kingine pasipo kujua . Rudia kuomba barua ya utambulisho lengo chagua maombi ya Mkopo elimu ya juu