Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
- Thread starter
-
- #21
Wana online hao jamaa kweli? maana nimepita campus zao nilianzia hapo makonde nikamalizia pale HQ na sijui kama wana-support online.
Ahsante mkuuUniversity of Pretoria
Boss ukiandika kwa urefu kuna kitu unakosa?Nimeandika hapo M.B.A
Ok ntachek
Miaka nane kila level unayosoma uwe umemaliza course work na kufanya mitihani.Wow hivi kumbe kuna mambo mazuri hivi hapa Tanzania wakuu?
Sorry 8yrs since Foundation to PhD? au mimi ndio sijaelewa hapo.
But I think hiyo ni for BCs.
Mwanzo ulikuwa na moyo mwema wa kutusaidia tulio wengi hapa jukwaan. But ghafla pepo mbaya anaanza kukukumba, usiende huko rudi bado tunakuhitaj hapa jukwaani.Boss ukiandika kwa urefu kuna kitu unakosa?
Miaka nane kila level unayosoma uwe umemaliza course work na kufanya mitihani.
Sema wewe unaonekana much know kasome za ulaya.
Kwa sasa hivi una level gani ya elimu?
Form 4Kwa sasa hivi una level gani ya elimu?
Na wewe unamtag pia? Hongereni nice couple.
Form 4
Uwe na siku njemaMwanzo ulikuwa na moyo mwema wa kutusaidia tulio wengi hapa jukwaan. But ghafla pepo mbaya anaanza kukukumba, usiende huko rudi bado tunakuhitaj hapa jukwaani.
Unaona sasa ulivyoitafuta thamani ya X kwenye ID yako? Tisha sana, kazi kwetu sasa wenye elimu zetu za form 4.Unaweza kujisajili kwa masomo ya kidato cha tano kama 'Private candidate', baada ya kukamilisha hiyo 'level' ukaomba chuo kikuu uria n.k na hatimaye ndoto yako kutimia.
Wapo waliofanikiwa kwa kupitia njia hiyo pia.
Usiseme una ndoto mkuu Wakilimkuu sema hivi Nataka kuhitimu PhD baada ya muda fulani.Mimi niliishia form 2 ila nina ndoto nije kuwa na. PHD nataka nisome kwa njia ya online
Usiseme una ndoto mkuu Wakilimkuu sema hivi Nataka kuhitimu PhD baada ya muda fulani.
Ujue ni kwanini nakuzuia kusema una ndoto? Maana yake ni kwamba sitaki uendelee kuota nataka uanze kuyafanyia kazi malengo yako now now. Ndoto mara nyingi huwa hazitimii watu wanakufa nazo wakiwa bado wanaota.