Msaada - computer monitor

Msaada - computer monitor

GarageRules

Member
Joined
Aug 8, 2008
Posts
26
Reaction score
0
Wakuu popote mlipo, nahitaji msaada; computer monitor imeenda off, nimejaribu kuangalia kitu gani kinasababisha bila mafanikio. Nimejaribu kubadiri Graphic card, swap monitors bila mafanikio yoyote. Then nikajaribu ku-boot in a safe mode, kila kitu kinafanya kazi, nikitoka kwenye safe mode mambo yanajirudia kama yalivyokuwa. Sasa wataalam nini hasa inaweza ikawa tatizo. Mwenye uelewa tafadhari nisaidie!
 
pole ndugu yangu,

looks like the video driver is corrupted

jaribu ifuatavyo:
1. boot to safe mode
2. right click on my computer, then choose manage
3. go device manager
4. uninstall video driver (right click on it then choose uninstall)
5. reboot

if this doesn't work, take a windows CD and perform a repair installation via Recovery Console. you start setup and choose the option with recovery console. when you get to the C:\ prompt, run the chkdsk /r command

hope this helps

prince
 
kama inaweza kwenda safe mode pia unaweza kufanya system restore ( itaweza kurestore kama ilivyokuwa inafanya kazi mwanzoni )
 
NIna utundu kidogo na Windows XP, na hii system ina Vista Home premium OS, jana nimejaribu kutafuta system restore sikuiona mara moja. Halafu kuna kitu nilisahau kuwaelezeni, Nilikuwa online punde warning window ikatokea ikisema trojan zimee-infect system, kabla ya kupata jina la hiyo trojan screen ikaenda blank nikajaribu kurun AVG safe mode, sijaona file yoyote ilikuwa infected.

Asanteni Prince and Shy kwa ushauri nilirudi maskani baadaye ntajaribu ushuri wenu.
 
Uliingia katika mtandao na hiyo programu ikajiinstal inavyoonyesha ni startup rahisi zaidi ni kujua jina la programu halafu uende katika start up manager yako kwa safemode then disable startup hiyo na zingine unazozihisi ukishamaliza hivyo install antispyware run that inawezekana ulikuwa huja enable firewall hapo mwanzo
 
Njia rahisi peleka workshop hapo kati kati ya jiji ataweza kukusaidia kwa urahisi zaidi
 
Nipo mbali sana kutoka katikati ya jiji, na wajinga wanabei ile mbaya sehemu nyingi ni kati $100.00 to 120.00 per hour kitu ambacho nakiona uzushiiii!

Ngoma bado imenuna, ila kizuri nimeweza kuburn vitu muhimu nilivyovihifadhi humo, baada ya kazi nitafanya fresh installation.
 
hizo bei ni resonabo kama anakupa genuine operating system kwasababu ndio bei zake zinalingana na hizo kama hapa nchini kuna baadhi ya bidhaa za microsoft zimeshuka bei kama hizo
 
hizo bei ni resonabo kama anakupa genuine operating system kwasababu ndio bei zake zinalingana na hizo kama hapa nchini kuna baadhi ya bidhaa za microsoft zimeshuka bei kama hizo

Nisingekubari kuwapelekea mafundi uswahilini unless kuna mambo muhimu sana ndani ya system yangu. Kwanza kama bei ndo hizo za $120.00/hours, ina maana unaweza kuondoka na bills za dolar hadi $360.00 ambazo zinatosha kununulia system nyingine nzuri kabisa na ya kisasa.
 
Nimefanikiwa asanteni;
Kwa vile niliweza kuburn files nilizokuwa nimehifadhi mle sikuona umuhimu wa kundelea kushindana nayo kila siku hivyo nikajaribu ku-reinstall vista ikagoma, nikachukua mkongwe Windows XP nikaformat HD na installation ikaenda vizuri.
Hivyo sinabudi kuwashukuru wote mlionisaidia kwa njia moja au nyingine.
Mwaka mpya mwema!!!
 
Back
Top Bottom