GarageRules
Member
- Aug 8, 2008
- 26
- 0
Wakuu popote mlipo, nahitaji msaada; computer monitor imeenda off, nimejaribu kuangalia kitu gani kinasababisha bila mafanikio. Nimejaribu kubadiri Graphic card, swap monitors bila mafanikio yoyote. Then nikajaribu ku-boot in a safe mode, kila kitu kinafanya kazi, nikitoka kwenye safe mode mambo yanajirudia kama yalivyokuwa. Sasa wataalam nini hasa inaweza ikawa tatizo. Mwenye uelewa tafadhari nisaidie!