Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Mwanamke ambae hajui kupika pia kitandani ni vile vile..

The utamu wa Chakula the Utamu wa Quhma..
 
Na mkaachana😀
 
pole sana ila inabidi uongezee jitianda za kujifunza maana kweli ukizubaa talaka inakuhusu
 
🤣Mi nadhani achana na masufuria haya ya kizamani tuliyozoea kupikia misibani...jaribu hizi sufuria za kisasa za kijerumani labda zitakubalancia mafuta mpenzi 🥴
Yeye Ndio Inabidi Afanye Juhudi Kubadilika Kwa Kujifunza Zaidi Na Si Kubadili Sufuria,,Hata Akipewa Sufuria Za Ikulu Mambo Yatakuwa Ni Yale Yale,,Sufuria Si Chanzo Cha Mtu Kutojua Kupika
Cc:Ty😍
 
Yutyubu ukiangalia rahisi lakini ukiingia mzigoni mara chumvi izidi,maji,mafuta
Kama unapata changamoto kupika kwa kutumia digital tutorials, tafuta mtu awe anakufundisha practically nyumbani. Tahadhari, huyo mtu awe mvumilivu
 
Kabisa sis ni ukweli aisee
Ndo maana Huwa simlaumu mtu asiejua kupika,kupika ni hobby kabisa kunawatu wanajua kupika lakin had atulie apike ni kipengele inaweza pita mwez hajui jiko linanafanaje
Sahihi, now help your sister maana wewe jiko ni jambo lako.
 
Yutyubu ukiangalia rahisi lakini ukiingia mzigoni mara chumvi izidi,maji,mafuta
Angalia video fanya majaribio mpaka uweze ku-master kila kitu. Mimi biashara yangu ya kwanza kufanya ni ujuzi ambao nilijifunza youtube kwa video ya dakika 20. Niliirudia rudia rudia kuangalia na kufanya practice mpaka nikawa expert. Mwanamke kutojua kupika kwa jamii zetu za kiafrika ni serious case
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…