Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Mwanamke ambae hajui kupika pia kitandani ni vile vile..
The utamu wa Chakula the Utamu wa Quhma..
The utamu wa Chakula the Utamu wa Quhma..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkaachana😀Hujaamua tu dear..
Mimi mpk namaliza chuo nilikuwa sijui kupika chochote zaidi ya kuboronga
Ila ule muda niliokaa home nilisema lazima nijue kupika
My late ex alikuwa anapenda sana nijue kupika yaani utakuta ananitumia recipe anasema nakupa assignment nataka upike hiyo kitu
Basi nitaingia google sijui YouTube ni kufatisha tu
Thank to my ex sasa najua kupika kila chakula ambacho ni common
Yaani mpk chapati za kusukuma tena laini sana najua
Rest In Peace my love 😍
Ulinitenga aisee. Big timeHabari ya wapi rafiki?? Kitambo sana
pole sana ila inabidi uongezee jitianda za kujifunza maana kweli ukizubaa talaka inakuhusuWakuu,
Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?
Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo
Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌
Nisaidieni tips za kujua kupika vizuri...
Aaliyyah
Mwachiluwi
Sis Carleen
Bro Evelyn Salt nisaidie braza
We mtu upo?Hakuna kitu kinakela Kama umetoka umechoka mizunguko unanjaa hafu unakuta home chakula hakieleweki
Yeye Ndio Inabidi Afanye Juhudi Kubadilika Kwa Kujifunza Zaidi Na Si Kubadili Sufuria,,Hata Akipewa Sufuria Za Ikulu Mambo Yatakuwa Ni Yale Yale,,Sufuria Si Chanzo Cha Mtu Kutojua Kupika🤣Mi nadhani achana na masufuria haya ya kizamani tuliyozoea kupikia misibani...jaribu hizi sufuria za kisasa za kijerumani labda zitakubalancia mafuta mpenzi 🥴
Ila unajua kupika pia, tena yale majogoo..dah!
Kama unapata changamoto kupika kwa kutumia digital tutorials, tafuta mtu awe anakufundisha practically nyumbani. Tahadhari, huyo mtu awe mvumilivuYutyubu ukiangalia rahisi lakini ukiingia mzigoni mara chumvi izidi,maji,mafuta
Nipo mkuu, hofu kwakoWe mtu upo?
Umepotea sana mkuuNipo mkuu, hofu kwako
Maisha tu...si kupenda kwanguUmepotea sana mkuu
Karibu tena.Maisha tu...si kupenda kwangu
Sahihi, now help your sister maana wewe jiko ni jambo lako.Kabisa sis ni ukweli aisee
Ndo maana Huwa simlaumu mtu asiejua kupika,kupika ni hobby kabisa kunawatu wanajua kupika lakin had atulie apike ni kipengele inaweza pita mwez hajui jiko linanafanaje
Shemela kikubwa najua kula kama Atoto 😀shemela binti kiziwi wamcheka mwenzio, ila wasahau nawe hujui kupika vizuri😂😂
Angalia video fanya majaribio mpaka uweze ku-master kila kitu. Mimi biashara yangu ya kwanza kufanya ni ujuzi ambao nilijifunza youtube kwa video ya dakika 20. Niliirudia rudia rudia kuangalia na kufanya practice mpaka nikawa expert. Mwanamke kutojua kupika kwa jamii zetu za kiafrika ni serious caseYutyubu ukiangalia rahisi lakini ukiingia mzigoni mara chumvi izidi,maji,mafuta
Yale si nayachemsha tu🤣🤣🤣Ila unajua kupika pia, tena yale majogoo..dah!
Wife wako is wifing😍, safi kabisa anatakiwa kujua chakula wanachotakiwa kula wanaume.![]()
karibuni futari, wife ndio kaivisha...