Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Yaani stay tune madikodiko yanaanza soon hapa nishashop Nazi zangu za buku buku๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni mwendo wa kukaa attention na status za mrembo, kazi yangu itabaki tu kusema waooooh', waooooh'...!!๐Ÿคญ
 
Ebo! Kumbe Evelyn Salt ni ana makende ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ
Sasa wee ujue kupika ili iwaje? Hizo mechi za o2.5 sii zinakupa hela ya kuweza kuoda chakula. Muhimu kula...mume akitaka chakula unampeleka serena ale mpaka achoke
 
Nenda chuo cha mapishi ndani ya mwezi tu. Unakuwa profeshional
 
Wanawake asilimia kubwa Ku pika huwa hawajui Ila wanachojua ni kujipikilisha.

Unakuta mtu anapika wali na dagaa masaa kibao mara aweke maji ananyunyuzia hatari tupu.


So haupo peke yako .

Jaribu kujifunza youtube wanaume wanavyopika kuanzia kuandaa vyombo hadi kupika
 
Mbona mie wali naupika kwa mfumo huo uliowashangaza wa maji ya baridi ๐Ÿ˜€

Nitajitahidi kupika mara nyingi nikiweza, asante sis ๐Ÿ™
Ngoja nikuambie namna nilijifunza kupika wali,

chemsha maji kiasi yachemke vyema, kisha tia chumvi, (utajua kwanini tunatia chumvi)..

kisha tia mchele wako ambao umeshauandaa vyema, baada ya hapo sasa punguza maji, hakikisha maji na mchele havipishani sana wingi, (hili zoezi liwe la haraka ili mchele usishike chini), kumbuka hapo mafuta hatujatia bado..

ndiposa uweke mafuta, jitahidi mafuta yako yawe kwenye chombo kidogo, usipende kutumia kidumu moja kwa moja, ni rahisi kumimina mengi..!!

as I told you Jana, funika wali wako, ukishachemka vyema, punguza moto hadi mwisho kabisa, maji yakikaukia ukaona wali wako bado mgumu ndipo tunaongeza yale maji moto yenye chumvi tuliyopunguza mwanzoni, usitie maji baridi wala usitie maji yaso chumvi, chakula chako kitapoteza ladha kabisa..!!

ukishazoea sasa vipimo vya maji, chumvi na mafuta ndiyo unaruhusiwa kupika kwa mbwembwe as you can..!!
 
Pendelea kupika Kila wakat pindi unapopika Kila mara ndipo unapoweza jua wap unakosea kesho Tena unarekebisha then unakaa sawa
 
Yes, cooking is art.
Some times you need to practice alot in order to achieve perfection.
Like every other arts, some people need one time and others need few more times to succeed.
Joanah aendelee hivyo hivyo kujaribu atafanikiwa au hatafikia kiwango cha wengine na siyo lazima afikie hakuna kujisikia vibaya. Yeye lazima atakuwa bora kwenye sanaa zingine.
 
Nakumbuka kazini tulichangisha donei nikasema niacheni niisimamie show nilipika dagaa waliokaangwa kwenda kwenye mchuzi nikaweka na kindimu kwambaali aisee mademu tulikua tunafanya nao kazi walinipa bigup wakawa wananiambia au ulisomea hotel management ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Umenena vyema mkuu.
 

Kupika sio kitu kigumu lakini ni kigumu TBH
 

Mimi nimeshaona sipendi kupika wallah vile ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ