Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Asantee
Nilidhani nimebakiza kupika chapati kumbe safari bado
Haha hat usijali kupika kwanza kabla hujaandaa vitu weka moyo hapo Yani feel ni kitu unataka kupika kiwe kizuri na kivutie

"The secret ingredient in every delicious meal is love."

"When you cook with heart, every flavor has a deeper meaning."
 
Leo nimeweka mafuta kidogo lakini ajabu wali unawaka waka loh!
Nimelia sana! Hivi Joanah una nini?

😂😂😂😂

Kujua kupika kuna mawili, kupenda na kupata right motivation. Mfano mi sipendi at all lakini akiwepo shemeji yako nakuwa motivated kupika, So natoa kitu hatari.

Lakini amini nakwambia mapishi sio universal language, kama si chef by profession then unatakiwa kujua kupika kwa ajili ya your people if they like it then you are good. It’s okay watu ambao sio wako kusema chakula chako kibaya.
 
Kujua tatizo Ndio mwanzo WA kutatua tatizo,la msingi kaa karibu na wajuvi WA mapishi wakuelekeze utajua Tu ni mdogo mdogo
 
Nimelia sana! Hivi Joanah una nini?

😂😂😂😂

Kujua kupika kuna mawili, kupenda na kupata right motivation. Mfano mi sipendi at all lakini akiwepo shemeji yako nakuwa motivated kupika, So natoa kitu hatari.

Lakini amini nakwambia mapishi sio universal language, kama si chef by profession then unatakiwa kujua kupika kwa ajili ya your people if they like it then you are good. It’s okay watu ambao sio wako kusema chakula chako kibaya.
Kabisa sis ni ukweli aisee
Ndo maana Huwa simlaumu mtu asiejua kupika,kupika ni hobby kabisa kunawatu wanajua kupika lakin had atulie apike ni kipengele inaweza pita mwez hajui jiko linanafanaje
 
Yutyubu ukiangalia rahisi lakini ukiingia mzigoni mara chumvi izidi,maji,mafuta
Kama unaishi kwenye, kaa na mdada wa kazi akuelekeze kupika.

Kama unaishi mwenyewe ajiri mtu wa mbali awe anakuja kwako kukufundisha kupika.

Mwanamke kutojua kupika ni upumbavu.
 
Wenzako wanajifunzia kupika kwenye mapupu, wanaenda machinjioni wanachukua kende za ng'ombe na kwenda kujifunzia kupika kama kutengeneza supu na kuunga mboga
 
Nimelia sana! Hivi Joanah una nini?

😂😂😂😂

Kujua kupika kuna mawili, kupenda na kupata right motivation. Mfano mi sipendi at all lakini akiwepo shemeji yako nakuwa motivated kupika, So natoa kitu hatari.

Lakini amini nakwambia mapishi sio universal language, kama si chef by profession then unatakiwa kujua kupika kwa ajili ya your people if they like it then you are good. It’s okay watu ambao sio wako kusema chakula chako kibaya.
shemela binti kiziwi wamcheka mwenzio, ila wasahau nawe hujui kupika vizuri😂😂
 
Joanah natamani mama yangu ange kuwa karibu, ange kufunza kwa siku chache na unge jua.

mimi nime jifunza nikiwa mdogo, and the best to ever taste in my life is my mom's food.
 
Hili sio tatizo la kukupa ulemavu wala nini, jipe muda fanya mazoezi kila siku...
 
Back
Top Bottom