Msaada: Daktari bingwa wa Ngozi anisaidie tatizo hili

Msaada: Daktari bingwa wa Ngozi anisaidie tatizo hili

Mahug

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
36
Reaction score
7
Naomba anayefahamu ninapoweza kuusaidiwa matatizo ya ngozi, miaka mingi sasa vikiota usoni kama chunusi basi ni vijipu, kwapa huota kama vijipu vidogo vdogo, sehemu za masikio vile vile, na sehem za siri.

Jasho likaa muda mrefu mwilini vinazidi, nikiwa na stress pia, nikipaka mafuta usoni ni tatizo sana, nikila vyakula vilivyo kinyume na vidonda vya tumbo nilivyonavyo ni shida inazidi pia.

Sasa cjui kati ya hayo nilotaja, au lolote nisilofahamu linasababisha, Hili tatizo lilianza tangu Balehe nikiwa na Umri miaka16 na sasa umri ni miaka 25.
 
Jaribu dawa ya ketaconazole ya vidonge na gentrisone ya kupaka litaisha tu
 
Muone Profesa Mngonda yuko Aga Khan... he is the best mie kanisaidia saaaaaaaaana
 
Usiende kwa sangoma tu... Ingia muhimbili ufurahie maisha
 
Lete kuku mweusi na yai la mamba....tatizo lako litakwisha tu......
 
Back
Top Bottom