Naomba anayefahamu ninapoweza kuusaidiwa matatizo ya ngozi, miaka mingi sasa vikiota usoni kama chunusi basi ni vijipu, kwapa huota kama vijipu vidogo vdogo, sehemu za masikio vile vile, na sehem za siri.
Jasho likaa muda mrefu mwilini vinazidi, nikiwa na stress pia, nikipaka mafuta usoni ni tatizo sana, nikila vyakula vilivyo kinyume na vidonda vya tumbo nilivyonavyo ni shida inazidi pia.
Sasa cjui kati ya hayo nilotaja, au lolote nisilofahamu linasababisha, Hili tatizo lilianza tangu Balehe nikiwa na Umri miaka16 na sasa umri ni miaka 25.