Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kichwa cha habari kinajieleza.Nataka kujua na muda wanaopatikana, kama kuna foleni sana pia si vibaya nikajua na gharama zao.Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu kijana wangu akilala usingizi akistuka uwa analia sana na mguu mmoja na mkono unakuwa kama umepalalazi ivi mpaka dk kadhaa uwa anarudi kwenye hali yake au mpaka akojoe sometimes haja kubwa umtoka na utokea baada ya miezi kadhaa ni wakati anapolala tu.Namalizia na shukrani zangu kwako mkuu.Mheshi,iwa pole sana, ungeweka mtoto ana tatizo gani japo sio kwa undani sana ili kutoa mwanga madaktari gani wanaweza kukusaidia. Mabingwa wa watoto lakini wametofautiana utaalam kutokana na tatizo mkuu. Mwingine atakwambia nenda Morocco kwa Masawe, mwingine Aghakan kwa Kuboja, mwingine kwa Khan lakini hiyo yote inatokana na tatizo linalomsumbua mtoto.
Kila la kheri mkuu
Mkuu kijana wangu akilala usingizi akistuka uwa analia sana na mguu mmoja na mkono unakuwa kama umepalalazi ivi mpaka dk kadhaa uwa anarudi kwenye hali yake au mpaka akojoe sometimes haja kubwa umtoka na utokea baada ya miezi kadhaa ni wakati anapolala tu.Namalizia na shukrani zangu kwako mkuu.