Msaada Daktari bingwa wa watoto Dar.

Msaada Daktari bingwa wa watoto Dar.

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,551
Reaction score
4,454
Wakuu kichwa cha habari kinajieleza.Nataka kujua na muda wanaopatikana, kama kuna foleni sana pia si vibaya nikajua na gharama zao.Natanguliza shukrani zangu.
 
Mheshi,iwa pole sana, ungeweka mtoto ana tatizo gani japo sio kwa undani sana ili kutoa mwanga madaktari gani wanaweza kukusaidia. Mabingwa wa watoto lakini wametofautiana utaalam kutokana na tatizo mkuu. Mwingine atakwambia nenda Morocco kwa Masawe, mwingine Aghakan kwa Kuboja, mwingine kwa Khan lakini hiyo yote inatokana na tatizo linalomsumbua mtoto.

Kila la kheri mkuu
 
Mkuu kijana wangu akilala usingizi akistuka uwa analia sana na mguu mmoja na mkono unakuwa kama umepalalazi ivi mpaka dk kadhaa uwa anarudi kwenye hali yake au mpaka akojoe sometimes haja kubwa umtoka na utokea baada ya miezi kadhaa ni wakati anapolala tu.Namalizia na shukrani zangu kwako mkuu.
 
Nenda Muhimbili, tumia fast track. Ulizia 'IPPM' huko utakutana na manesi watakupokea na utapata maelekezo.

Kumuona Daktari kwa mara ya kwanza 30,000/- Tzs, Je una bima? Utapata ahueni fulani.
 
Mkuu kijana wangu akilala usingizi akistuka uwa analia sana na mguu mmoja na mkono unakuwa kama umepalalazi ivi mpaka dk kadhaa uwa anarudi kwenye hali yake au mpaka akojoe sometimes haja kubwa umtoka na utokea baada ya miezi kadhaa ni wakati anapolala tu.Namalizia na shukrani zangu kwako mkuu.

Kwa mfano mto mwenye tatizo la kupumua? Akipumua anatoa sauti. Daktari yupi mzuri kwa watoto wenye tatizo hilo?
 
Back
Top Bottom