Msaada: Dawa ambayo inasaidia kuotesha ndevu zijae

Msaada: Dawa ambayo inasaidia kuotesha ndevu zijae

hahahah mi mwenyewe naitaka hio dawa aisee...Kuna sehemu ya shavu ndevu zimekataa kuota vizuri kitu kilichopelekea pawe kama shamba lenye asili ya magadi (kuna sehemu majani yanaota kuna sehemu kipara tu).

Hii imeniharibia mission yangu ya kunyoa kipara ama low cut maana ndevu zinakuwa hafifu hazipendezei. Huwa nazi prune zote tu
 
Aisee kubalabake mi mwenyewe hadi nafikia hatua hii ya kuwa na umri wa 25 na kuendelea pamoja na ukubwa wote huu nnamiliki ndevu mbili tu *****,,
My wife huwa anatamani kuchezea ndevu lakn anakuta kipara,,ila nachofanya nampa ndevu za uku chini anachezea kureplace za kidevuni,,,,,
Nataman niwe na ndevu kinoma ila ndo ivo sina uwezo huo.
Ko tusaidianeni wadau mtuambie nini tufanyeee.
 
Au ni wewe mwenyewe ...unakuja na Kiki ya jamaa yako
Mshauri afuge kuku ..atakula mayai!!
 
mwambie aje nimgaiie me sizitamani
Hata mimi natamani sanaa kama kuna uwezekano tunabadlshana maana mandevu saa zngne ni kero sanaaaa kila muda ni kunyoa tu daaaah una miaka 24 lakn mandevu kibaoooo unaonekana mzee daaaaaaah.
 
Aisee kubalabake mi mwenyewe hadi nafikia hatua hii ya kuwa na umri wa 25 na kuendelea pamoja na ukubwa wote huu nnamiliki ndevu mbili tu *****,,
My wife huwa anatamani kuchezea ndevu lakn anakuta kipara,,ila nachofanya nampa ndevu za uku chini anachezea kureplace za kidevuni,,,,,
Nataman niwe na ndevu kinoma ila ndo ivo sina uwezo huo.
Ko tusaidianeni wadau mtuambie nini tufanyeee.
Duuuuu,
 
Mbegu za kiume will do kutwa mara tatu akitaka na sharafa hata moustache pia. Ajisilibe tu maeneo hayo baada ya mwezi ataona matokeo chanya

Wadau kama kuna mtu anajua dawa ambayo inasaidia kuotesha mindevu ikajaa..maana kuna rafiki yangu anataman sana kuwa na ndevu nyingi...vindevu vyake vya kidevuni vimechomoza viwili tu...anatamani sana kuwa na mindevu kama mm na mitimba...kwa m2 yeyote anayejua dawa ya kuotesha atujuze hapa jamaa aote ndevu..
 
Anapitia comment ngoja atajaribu hyo castor oil
Rafiki yako alijaribu na alifanikiwa maana natafuta dawa ya kuotesha ndevu nina miaka 30 mpaka sasa sina hata kidogo wakati wadogo zangu wamejaa ndevu hatari nitumie dawa gani jamani? Kwa anaye uhakika wa dawa
 
Back
Top Bottom