kibenten
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 499
- 510
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie apake mavi ya kuku mwezi mzima[/QUOTE
Lushindo lwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie apake mavi ya kuku mwezi mzima[/QUOTE
Lushindo lwako
Hata mimi natamani sanaa kama kuna uwezekano tunabadlshana maana mandevu saa zngne ni kero sanaaaa kila muda ni kunyoa tu daaaah una miaka 24 lakn mandevu kibaoooo unaonekana mzee daaaaaaah.mwambie aje nimgaiie me sizitamani
Yaaaaani,,Duuuh kumbe kuna wenye kulilia ndevu..
Duuuuu,Aisee kubalabake mi mwenyewe hadi nafikia hatua hii ya kuwa na umri wa 25 na kuendelea pamoja na ukubwa wote huu nnamiliki ndevu mbili tu *****,,
My wife huwa anatamani kuchezea ndevu lakn anakuta kipara,,ila nachofanya nampa ndevu za uku chini anachezea kureplace za kidevuni,,,,,
Nataman niwe na ndevu kinoma ila ndo ivo sina uwezo huo.
Ko tusaidianeni wadau mtuambie nini tufanyeee.
Wadau kama kuna mtu anajua dawa ambayo inasaidia kuotesha mindevu ikajaa..maana kuna rafiki yangu anataman sana kuwa na ndevu nyingi...vindevu vyake vya kidevuni vimechomoza viwili tu...anatamani sana kuwa na mindevu kama mm na mitimba...kwa m2 yeyote anayejua dawa ya kuotesha atujuze hapa jamaa aote ndevu..
Wewe utakuwa wa kike,Hahahahahaha mnafanana na Dada xenu kumbe mwanaume ndevu. Bhanaa
Rafiki yako alijaribu na alifanikiwa maana natafuta dawa ya kuotesha ndevu nina miaka 30 mpaka sasa sina hata kidogo wakati wadogo zangu wamejaa ndevu hatari nitumie dawa gani jamani? Kwa anaye uhakika wa dawaAnapitia comment ngoja atajaribu hyo castor oil