JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Wasalaam aleykum,
Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital...
Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe!
Uvimbe unapungua siku ya kwanza, ya pili unarudi...
Naomba msaada kama kuna mtu anaijua humu dawa yoyote nzuri ya antibiotics inayoweza kukausha uvimbe huo wa mguu kwa haraka tusaidiane JINA LA DAWA NIKATAFUTE PHARMACY.
ASANTENI.