Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Pole sana mwambia huyo mdada anitafute kwa wakati wake ili niweze kumtibia hayo marahi yake auguwe pole.Habari wakuu
Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.
Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
PID na UTI hujirudia ikiwa ni ishara kinga zako ziko chini. Andaa chao ya mmea unaitwa mashina nguo (bidens pilosa) kujaa viganja viwili na mchai chai (lemon grass) viganja viwili na maji lita moja. Shinda unakunywa siku nzima.Rudia kesho zoezi hilo,hapo UTI na PID zitakaa mbali kwa uwezo wa MuumbaHabari wakuu
Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.
Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
Unachemsha au vp mkuuPID na UTI hujirudia ikiwa ni ishara kinga zako ziko chini. Andaa chao ya mmea unaitwa mashina nguo (bidens pilosa) kujaa viganja viwili na mchai chai (lemon grass) viganja viwili na maji lita moja. Shinda unakunywa siku nzima.Rudia kesho zoezi hilo,hapo UTI na PID zitakaa mbali kwa uwezo wa Muumba
unachemsha ndiyo,ikipoa unaweza kwa chupa safi.unashinda unakunywa hadi jioni iwe imeishaUnachemsha au vp mkuu
atumie ag cera na ag rose atapona kabisaHabari wakuu
Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.
Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
hospital watampatia vidonge ikiwa sugu watamchoma sindano lakin baada ya muda ili tatzo litajirudia ni Bora atumie ag cera apate suluhisho la kudumuNenda hospitali ukatibiwe.