Msaada dawa nzuri ya PID

Msaada dawa nzuri ya PID

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.

Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
 
Habari wakuu

Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.

Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
Pole sana mwambia huyo mdada anitafute kwa wakati wake ili niweze kumtibia hayo marahi yake auguwe pole.
 
Fuatilia andiko langu juu ya ugonjwa huo upate kujisaidia.Ingia kwenye maandiko yangu utaona nilivyoelekeza.Pole sana
 
Duuh hiyo kitu ni mbaya unakuwa kama unatengeneza ugali huko ndani 😫😫
 
Habari wakuu

Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.

Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
PID na UTI hujirudia ikiwa ni ishara kinga zako ziko chini. Andaa chao ya mmea unaitwa mashina nguo (bidens pilosa) kujaa viganja viwili na mchai chai (lemon grass) viganja viwili na maji lita moja. Shinda unakunywa siku nzima.Rudia kesho zoezi hilo,hapo UTI na PID zitakaa mbali kwa uwezo wa Muumba
 
Unachemsha au vp mkuu
 
Habari wakuu

Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.

Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
atumie ag cera na ag rose atapona kabisa
 
Dawa za changamoto hii zipo na hutibu kabisa tatizo jumla wala haliwezi kujirudia tena maana huwa zinaweka kinga dhidi ya bakteria. Changamoto ya wengi ni kutaka kupona siku mbili,kwa hiyo ukimpa dawa siku mbili akaona nafuu zilizobaki anazitupa wakati umemweleza tumia siku 21.Mwisho wa siku tatizo linakuwa sugu sana na anakuharibia brand!
 
Back
Top Bottom