Owen chimela
Member
- Feb 24, 2012
- 99
- 237
Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za macho anisaidie niweze kupata Tiba ya kijana wangu.
Natanguliza Shukrani
Natanguliza Shukrani