Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Ukipaka kaa sehemu upigwe upepo wa feni au ubaridiMimi nilipaka nikajikuta nipo nje uchi,sijui yeye ni mvumilivu kiasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipaka kaa sehemu upigwe upepo wa feni au ubaridiMimi nilipaka nikajikuta nipo nje uchi,sijui yeye ni mvumilivu kiasi gani
🤣🤣Mlango ufungwe kwa nje alafu ndo apake laasivyo atahadhilika vyombo hadharaniMimi nilipaka nikajikuta nipo nje uchi,sijui yeye ni mvumilivu kiasi gani
ndipo ukaanza na ule mchezo wako siopvmbv erosion
niliipata form 2, nilimuiga jamaa kuoga bila kutumia taulo
ila mwanzo mwanzo pale inavyowasha ukijikuna unapata raha sana, hasa usiku unatamani isiache
hahaha hapana , ule mchezo nilianza 2016ndipo ukaanza na ule mchezo wako sio
Uzuri wa Sua wanaotesha hao fungus kwa kufanya kitu kinaitwa culture and sensitivity kujua dawa gani itakufaa.Sua hospital Main campus
Dawa gani ulitumia??Yeah nishapona mkuu
Iko vipi mkuu tukaitafuteDawa inaitwa MLUTA nilinunua kwenye maduka ya dawa za Asili
Shukrani mkuuKopo lake nilishalitupa tayar. Lakini pale kwenye kopo limeandikw maelezo kua dawa inatibu mfumo mzima wa mkojo, waliandika magonjwa mengimengi . Ilikua UTI sugu, Gono, Fangas N.k mengine siyakumbuki.