From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Genital warts hutokea sehemu za siri kwa kuambukizwa na mtu mwenye nazo.
Kama ni kubwa na nyingi Dr. Ana weza kuopt kufanya surgery.
Lakini kama ni vidogo vidogo na vimetengana basi dawa nzuri ni kuvichoma kwa frozen nitrogen. Na vikichomwa inabidi urudi tena ili kama havitabanduka wavichome tena. Regency wanatoa hii huduma chini ya Dr. Bingwa wa ngozi.