Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nawaza hata niliyemkosea nakosaaa,
Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima. Niliweka sumu wakafa wawili yaan kama nimefungua vita wakija kama wanaita wenzaao hatulali wakuu.
Kibaya wapangaji wangu wameanza kuhama mmoja mwanae amelala nae kitandan kamkuta sebulen nashukuru hawakuwa makatili kumtoa nje.
Mwingine ana wiki anaalalama anapigana na mwanamke mnene usiku mpaka saa 11 asbh anamwachia. Kama ujuavyo imani haituruhusu mngineyo ukikaa vijiweni unaambiwa mwagia mkojo na chumvi vyumban shida wa nani awasemi?
Mwingine kachukue maji ya baharini changanya na maziwa na chumvi na mavi ya tembo(kipengelee tembo achatu/mwagia vyumbani, mmhhh nk.
Tunapiga sala bado tukimwa mini Mungu ila tunapitia kwenye vita vikuu yaan hata kukaa na majirani nimeogopa. Sasa, nawaza kupeleka watotoo bdn; kama kupambana tumalizane nao wakubwa.
Hivi naandika wamekuja tena, aiseeeeeeee!
Yaan siku ya 5 sasa haya yanapiga makelele hayali sumu matokeo yanakuja dirishan moja likilis lingine linaitaa nyaauuuu nyaaaaaaaaaaaau kamawanafanya tendo la ndoa kinguvu kazi trutrue.
Mjini kuzuri lakn, mmh!