Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
- Thread starter
- #41
Tjx mkuu barikiwa
Pdidy unahitaji msaada? Kufungulia redio ya Kuhani Mussa haitakusaidia, kumwaga maji ya baraka sijui mafuta ya upako utakuwa mnachambisha paka hapo. Kama kweli unataka kuondokana na hilo jambo its a matter of prayers. Maana mpaka alarm imegonga, means umepata signal rohoni. Pray earnestly. Isali sala ya baba yetu..kwa moyo tena kipengele baada ya kipengele. Kama unahitaji maelekezo PM tafadhali.