MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

Acha urongo na usanii wewe hakuna mtu anaweza kumchukua mtu kwenda kumlimisha usiku kucha
 
Ungewauliza wanataka nini
 
maranyingi paka wanapenda sehemu zagiza funga taa zenye mwanga mkali ili wakipiga makelele uwe unawaona.ukiwaona toka kawafukuze Wala usihangaike kuweka sumu.ukitoka kuwafukuza watahama kijiwe na kutafuta sehemu nyingine ambayo watafanya Mambo yao kwauhuru.
hata sehemu yenye mbwa wengi ikifkia kipindi jike liko kwenye sikuzake zajoto Basi midume yote ya mitaa hio itakusanyika kuvizia kulipanda jike hilo Basi mbwahao wakichagua sehemu yakaribu nawewe utakoma kwamakelele maana wanalia Kama watu.
kwahio wee weka taa zenye mwanga mkali kuzunguka nyumba yako utawazibiti kirahisi Mana ukiwagasi watahama.achana nahao wanao kudanganya eti mtafute furani. niwaongo watupu Wala hawajui lolote.nahao unao ambiwa watakusaidia niwatupu kichwani wazee wakiki. wanajifanya waganga uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…