Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Upungufu wa Hormone Testesterone linaweza kutibiwa Ma-Hospitalini kwanza kabla ya mimi kukupa Dawa zangu ningekushauri uende kumuona Daktari akupime na atakupa Dawa ya kuongeza Hormone Testesterone, usipo poona unaweza kunitafuta kwa wakati wako nitaweza kukupa na Dawa ushauri mzuri ukitaka Dawa zangu bonyeza hapa.Mawasilianowadau mimi ni mwanaume miaka 40. Tatizo langu ni kwamba sperm zinazalishwa kidogo sana kiasi kidogo sana.