Msaada: Dawa ya kuongeza Homoni ya Testesterone mwilini

Msaada: Dawa ya kuongeza Homoni ya Testesterone mwilini

Mihogo mibichi, nyama ya mbuzi, supu ya pweza, juice ya tende na maziwa ya ngamia, dafu gumu, na mengine wadau watakuongezea.
 
Ndugu yangu tatizo la low sperm count linaweza kusababishwa na vitu vingi pamoja na kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosterone. Dawa ya kuongeza kiwango cha homoni hiyo mwilini ipo kwenye maduka ya madawa lakini haitolewi kiholela bali kwa ushauri wa daktari anayetambilika. Dawa hiyo hupatikana kama Methyl testosterone.

Ushauri wangu ni kujaribu kutumia tiba mbadala, tiba-lishe. Methyl testosterone inaweza kuwa na side-effects kali sana kama haikupendi (Prolonged Erection). Nimefanikiwa kuongeza kiwango cha sperm count kwa watu wengine kwa kuwashauri watumie dawa hizo za tiba-lishe. Kampuni ya dawa hizo ina ofisi yake Posta Mpya, Dar. Mgonjwa wa mwisho alikuwa na sperm count ya 6.7 na ikapanda hadi 28 katika wiki 2.

Soma zaidi katika tovuti yangu Top Wellness Products In Tanzania | Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii
 
Testoserone ziko katika formulation tofauti kama sindano(nebido) au gel patches mfano testogel,tostran gel,testim gel.
 
wadau mimi ni mwanaume miaka 40. Tatizo langu ni kwamba sperm zinazalishwa kidogo sana kiasi kidogo sana.
Tatizo la Upungufu wa Hormone Testesterone linaweza kutibiwa Ma-Hospitalini kwanza kabla ya mimi kukupa Dawa zangu ningekushauri uende kumuona Daktari akupime na atakupa Dawa ya kuongeza Hormone Testesterone, usipo poona unaweza kunitafuta kwa wakati wako nitaweza kukupa na Dawa ushauri mzuri ukitaka Dawa zangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Back
Top Bottom