Rachel P
Senior Member
- Dec 26, 2024
- 151
- 617
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana.
Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa. Nimefanya mazoezi tangu mwaka jana mwezi august lakini mpaka leo nayaona kama yanaongezeka tu.
Natamani kupata dawa ambayo iwe ya asili isiyo na madhara ili nikijumlisha na haya mazoezi basi nipate matokeo.
Help me please!
nb: Naweza kuambatanisha na picha kama zitahitajika