MSAADA; Dawa ya Kupunguza Makalio

MSAADA; Dawa ya Kupunguza Makalio

Zingatia balance diet
1. Low glycemic foods
2. High fiber diet
3. Aerobic exercise

Ukifuata hayo mabadiliko utaona makubwa ndani ya miezi 2
 
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana. Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa. Nimefanya mazoezi tangu mwaka jana mwezi august lakini mpaka leo nayaona kama yanaongezeka tu.
Natamani kupata dawa ambayo iwe ya asili isiyo na madhara ili nikijumlisha na haya mazoezi basi nipate matokeo.
Help me please!

nb: Naweza kuambatanisha na picha kama zitahitajika
Wenzako wanakesha kutafuta nauli na passport za kwenda Uturuki kuboost halafu wewe unatafuta dawa yasinyae!

Labda kama wewe ni mhindi, lakini kwa mwafrika gumba hiyo ni hadithi ya 'changamsha genge' haiwezi kutokea!

Yaweza kuwa unasaka 'client' kikubwa.
.
Mjini kuna mambo mengi sana, tusiyoyajua.
 
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana. Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa. Nimefanya mazoezi tangu mwaka jana mwezi august lakini mpaka leo nayaona kama yanaongezeka tu.
Natamani kupata dawa ambayo iwe ya asili isiyo na madhara ili nikijumlisha na haya mazoezi basi nipate matokeo.
Help me please!

nb: Naweza kuambatanisha na picha kama zitahitajika
Picha ni za muhimu sana Rachel P
 
Yaani unaroho mbaya!

sasa kwanini utunyime starehe ya macho.?
 
Story yako haitofautiani sana na gilesi mitikisiko ila yako Ina Uboreshaji kidogo mtafute gilesi alipata Dawa mwenzako.
Nb Hatukuamini tulivyo mkuta gilesi kama ni yule mzee😂😂😂
 
Wajomba walimkaaanga Gilesi
 
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana. Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa. Nimefanya mazoezi tangu mwaka jana mwezi august lakini mpaka leo nayaona kama yanaongezeka tu.
Natamani kupata dawa ambayo iwe ya asili isiyo na madhara ili nikijumlisha na haya mazoezi basi nipate matokeo.
Help me please!

nb: Naweza kuambatanisha na picha kama zitahitajika
Hili ndiyo Tangazo la kwanza kulisikia la namna hii
 
Back
Top Bottom