MSAADA; Dawa ya Kupunguza Makalio

Mkuu njia rahisi ya kupunguza makalio ni kuongeza kiwango cha kugegedwa na kama ikishindikana basi go for surgical operation.
 
Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana.

Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa. Nimefanya mazoezi tangu mwaka jana mwezi august lakini mpaka leo nayaona kama yanaongezeka tu.
Spot reduction(kupunguza mafuta sehemu moja tu ya mwili) hakuwezekani.

Ukiwa unakonda unapoteza mafuta mwili mzima.

Wewe utakuwa na vinasaba vyako vya tofauti tu, jikubali.
 
Wee unauza matako sio bure, nenda tuu kapange foleni na malaya wenzako umsubiri wa kukununua
 
Dah pole sana what if ukamwona daktari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…