BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Chumvi ya mawe unafanyaje mkuu?Ni biashara gani hiyo ukose wateja, mwanzo huwa mgumu, fanya sala upate wateja, pia chumvi halisi ya mawe ni dawa tosha kwa kuvuta wateja.
Yote hayo yanafanyika.Customer care nzuri, ongea vizuri na wateja katika biashara na nje ya biashara.....kuwa charming sio unanuna nuna, mtu katafuta pesa Kwa shida anakuja kununua bidhaa unamletea pozi, sio njiani unawakaushia ukifika kwenye biashara unawakenulia, we kenua muda wote ka chizi.
Karibisha wateja vizuri....story nyingi, zipambe bidhaa zako, uongo uongo mwingi....jaribu hayo.
KivipiMuuzaji yukoje?...
Vipi kuhusu location? Ni right location Kwa bidhaa zako?Yote hayo yanafanyika.
Shukurani kwa concern yako ila mi nataka dawa ya kuvuta wateja.Vipi kuhusu location? Ni right location Kwa bidhaa zako?
Kingine vumilia, mwanzo biashara inahitaji uvumilivu....
Nenda kagoogle chumvi ya mawe, utapata mengi ya kufahamu kuhusu chumvi halisi ya mawe.Chumvi ya mawe unafanyaje mkuu?
Nenda kwa pusha mwambie akupe stiki moja.Wakuu mwenye kujua dawa ya kuvuta wateja naomba connection maana kuna business yangu nimefanya kila niwezalo ili kuvuta wateja nimetoka kapa.
Biashara kama haina wateja basi kifuatacho ni kifo cha biashara ili tusifike huko ni vizuri kujaribu namna nyingine ambazo zinaweza kuleta tija.
Nahitaji dawa ya kuvuta wateja.
Huko utaibiwa umalize pesa zako za mtaji....Mimi mwenyewe nafanya biashara, naelewa nachokwambiaShukurani kwa concern yako ila mi nataka dawa ya kuvuta wateja.
Ishu ni kwamba unayoniambia nayazingatia to the maximum lakini still upepo unakataaHuko utaibiwa umalize pesa zako za mtaji....Mimi mwenyewe nafanya biashara, naelewa nachokwambia
Hio ya pusha uhakika[emoji817][emoji817]Nenda kwa pusha mwambie akupe stiki moja.
Nyonga washa vuta.
Mawazo yatakujia kichwani tu nini ufanye ili biashara yako isife.
Kama sio mtu wa stiki basi amka saa nane usiku ongea na MUNGU wako kwama maana muda huo akili imetulia pia.
Ina maana gani kusema yote hayo wakati hutaki kutoa connectionYupo mtu namfahamu ambaye na yeye alifanya unachotaka kufanya na akapata matokeo. Tatizo mimi siamini kwenye hayo mambo.
Ila sehemu unayoweza kupata unachotaka ni: Mashewa, Korogwe, Tanga. Ningekusaidia kupata direct link kabisa ila siwezi kwasababu ya identity. Ukifika huko unaweza kuuliza na kupata unachokitaka.
Fanya tathmini ya kina....na ukumbuke biashra zina msimu pia, je sasa hivi ni high season Kwa biashara yako?Ishu ni kwamba unayoniambia nayazingatia to the maximum lakini still upepo unakataa
Kwa hiyo akifika mashewa kila mtu atayemuona ni mgangaSi nimekupa ramani ya eneo husika kabisa!
SawaFanya tathmini ya kina....na ukumbuke biashra zina msimu pia, je sasa hivi ni high season Kwa biashara yako?
Unaweza kudhani watu hawaji, kumbe now biashara iko low season.
Ukifanikiwa kupata dawa Naomba nishirikishe.
Toka hapa unafiki mtupu.Si nimekupa ramani ya eneo husika kabisa!