Msaada dawa ya kuvuta wateja

Msaada dawa ya kuvuta wateja

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Wakuu mwenye kujua dawa ya kuvuta wateja naomba connection maana kuna business yangu nimefanya kila niwezalo ili kuvuta wateja nimetoka kapa.

Biashara kama haina wateja basi kifuatacho ni kifo cha biashara ili tusifike huko ni vizuri kujaribu namna nyingine ambazo zinaweza kuleta tija.

Nahitaji dawa ya kuvuta wateja.
 
Customer care nzuri, ongea vizuri na wateja katika biashara na nje ya biashara.....kuwa charming sio unanuna nuna, mtu katafuta pesa Kwa shida anakuja kununua bidhaa unamletea pozi, sio njiani unawakaushia ukifika kwenye biashara unawakenulia, we kenua muda wote ka chizi.

Karibisha wateja vizuri....story nyingi, zipambe bidhaa zako, uongo uongo mwingi....jaribu hayo.
 
Yote hayo yanafanyika.
 
Wakuu mwenye kujua dawa ya kuvuta wateja naomba connection maana kuna business yangu nimefanya kila niwezalo ili kuvuta wateja nimetoka kapa.

Biashara kama haina wateja basi kifuatacho ni kifo cha biashara ili tusifike huko ni vizuri kujaribu namna nyingine ambazo zinaweza kuleta tija.

Nahitaji dawa ya kuvuta wateja.
Nenda kwa pusha mwambie akupe stiki moja.

Nyonga washa vuta.

Mawazo yatakujia kichwani tu nini ufanye ili biashara yako isife.

Kama sio mtu wa stiki basi amka saa nane usiku ongea na MUNGU wako kwama maana muda huo akili imetulia pia.
 
Yupo mtu namfahamu ambaye na yeye alifanya unachotaka kufanya na akapata matokeo. Tatizo mimi siamini kwenye hayo mambo.

Ila sehemu unayoweza kupata unachotaka ni: Mashewa, Korogwe, Tanga. Ningekusaidia kupata direct link kabisa ila siwezi kwasababu ya identity. Ukifika huko unaweza kuuliza na kupata unachokitaka.
Ina maana gani kusema yote hayo wakati hutaki kutoa connection
 
Ishu ni kwamba unayoniambia nayazingatia to the maximum lakini still upepo unakataa
Fanya tathmini ya kina....na ukumbuke biashra zina msimu pia, je sasa hivi ni high season Kwa biashara yako?

Unaweza kudhani watu hawaji, kumbe now biashara iko low season.

Ukifanikiwa kupata dawa Naomba nishirikishe.
 
Back
Top Bottom