Yawezekana unauza bidhaa zako sehemu isiyo sahihi. Unaweza kuuza bidhaa sahihi kwa watu wasio sahihi, angalia mazingira.Wakuu mwenye kujua dawa ya kuvuta wateja naomba connection maana kuna business yangu nimefanya kila niwezalo ili kuvuta wateja nimetoka kapa.
Biashara kama haina wateja basi kifuatacho ni kifo cha biashara ili tusifike huko ni vizuri kujaribu namna nyingine ambazo zinaweza kuleta tija.
Nahitaji dawa ya kuvuta wateja.