Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Wa kienyeji mkuuu...ndo safiAsante sana. Wengi watakupa mrejesho maana ni janga kwa wengi siku hizi. Ila kuku ni wa kufugwa kienyeji au hata broiler na chotara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kienyeji mkuuu...ndo safiAsante sana. Wengi watakupa mrejesho maana ni janga kwa wengi siku hizi. Ila kuku ni wa kufugwa kienyeji au hata broiler na chotara?
Shukrani sana.Wa kienyeji mkuu ndio safi.
[emoji1][emoji1][emoji1] nashukuru Sana mkuu kesho tu naanza tiba.Mkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo...
Habari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana.
Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu
Tupeni mrejesho,mmetatua namna gani tatizo hilo?Ukipata jibu naomba nistue kwangu imekuwa shida sana
Sivijui hivo vitu unavyovisema ila nimehisi tu vitu flani hivi. Nina dawa 2 nakupa itakayokufaa urudishe mrejeshoHabari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana.
Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu.
Kwa soma soma yangu ya hapa na paleHabari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana.
Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu.
AseeMkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo,
Alitokwa na visunzua vingi miguuni alipelekwa hospital kubwa za wilaya, ngoma ikadunda akapelekwa hadi kule Tegeta kwa masister hali ikawa vile vile.
Siku moja tumekaa home akaja rafiki yake Mama alishangaa sana kuona vile vidude vinasumbua na vimechukua muda mrefu kupona wakati dawa yake ni ya kawaida tu.
Amini hiki ninachokwambia, alisema chukueni Mavi ya kuku yaliyokauka yasage yaweunga unga... Kisha kwenye vile visunzua fanya kama unaupaka ule unga kwa kuusugua kwenye visunzua...ndani ya wiki kadhaa tuletee mrejesho.
nimefanikiwa kuviondoa ila kwa kuvichoma japo bei yake mkasi kidogoHabari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana.
Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu.
Wapi na ni pesa ngapi mkuu?nimefanikiwa kuviondoa ila kwa kuvichoma japo bei yake mkasi kidogo
Kuna kliniki moja ipo Dodoma na pia Dar Makumbusho inategemea unavyo kiasi ganiWapi na ni pesa ngapi mkuu?