Anaimba mziki ambao ni wa kukuburudisha tu siyo wa kukuelimisha wala wa kukufanya utafakari ni mziki wa kukuburudisha tu huhitaji kuelewa sana anachoimba.HUyu dogo nimetokea kumfahamu pale alipodai amemuoa binti mrembo Irene, sasa nikaanza kusikiliza Nyimbo zake. Wajuvi wa mambo mnisaidie huyu huwa anaimba muziki wa aina gani? na hualikwa kwenye matamasha na watu wanalipa viingilio?au anafanya hisani (BURE). Natanguliza shukrani.
Na anajisifu jinsi anavyopewaga MAMBO YA UANI! 😱Nikupeleke ngarenaroo ayaa oyaaa...ni hivyo tu
Ndugu sina chuki dhidi yake, ni katika kutaka kujua wanamuziki na muziki hapa nchini Tanzania. So far nauelewa zaidi Muziki wa Diamond, Harmonize, Ally Kiba, Ben Pol ILA BADO NAJILAZIMISHA kuwaelewa JUX, VANESSA, DOGO JANJA na ROMA.Dogo anajua, acha chuki binafsi
yani acha tuNa anajisifu jinsi anavyopewaga MAMBO YA UANI! 😱
Ukiona humwelewi huna haja ya kujilazimisha yani ingekuwa shule tungesema hilo somo siyo compulsary. Huwezi kuelewa kila mwanamziki ndiyo maana wengine wanawaelewa akina nikki mbishi wengine hawawaelewiNdugu sina chuki dhidi yake, ni katika kutaka kujua wanamuziki na muziki hapa nchini Tanzania. So far nauelewa zaidi Muziki wa Diamond, Harmonize, Ally Kiba, Ben Pol ILA BADO NAJILAZIMISHA kuwaelewa JUX, VANESSA, DOGO JANJA na ROMA.
Sikiliza nyimbo za wasanii wengine huyo achana naye humuelewinilisikia maneno NIKUPELEKE NGARENAROOO mara nyingi kuliko maneno mengine
HahahahahahaajajahahahahahahahhahahahahaahNa anajisifu jinsi anavyopewaga MAMBO YA UANI! 😱