Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Una chuki binafsi na Yule Mtoto aliyeikimbia shule Makongo.
 
Usipokielewa kitabu ujue hujaandikiwa

Kutomuelewa msanii haihusiani na yeye kutokuwa msanii, zipo sababu nyingi zinapelekea kutomuelewa ikiwemo zama.

Mfano mimi simuelewi Young Lunya lakini siwezi kusema sio msanii, ana watu wake wa kizazi chake na ukiwakuta wanamzungumzia wanakwambia jamaa noma sana
 
Ndugu sina chuki dhidi yake, ni katika kutaka kujua wanamuziki na muziki hapa nchini Tanzania. So far nauelewa zaidi Muziki wa Diamond, Harmonize, Ally Kiba, Ben Pol ILA BADO NAJILAZIMISHA kuwaelewa JUX, VANESSA, DOGO JANJA na ROMA.
Joshua _Ok mtu wangu.
 
Back
Top Bottom