Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Dogo kamwagwa mchana peupe, imebaki kuimba kaswider
 
Wayuwayu ooo nawakanyaga kama soksi zangu wayuwayu oooookk
 
Hakuimbii wewe ndio maana , na wala anachokiimba hujawahi pitia maishani mwako , ni hivyo tu jamaaa
 
Sio lazima aeleweke na watu wote tanz.kama humuelew pita hiviii aiseee chaliii yangu
 
Mimi siwaelewi Dogo Janja, Vanessa Mdee na Jux.....huwa nawashangaa tu
Aheri Jux na dogo janja, vanesa ndo kabisa sijawah sikiliza wimbo wake hata mmoja ukaisha, huwa nadonoa nusu Tu, wimbo wa kidebe wa dogo janja nampa salute hasa ubet wa tatu naukubal sana
 
Back
Top Bottom