Joseph Magnifico
Member
- Jan 16, 2016
- 81
- 32
sensei Ringo kweli karate yake ni ya demo tu. Wanafunzi wa chikoko sijawah waona wanachofanya ila Jango kama BRN alivyokushauri wako safi kwa kiwango chao
Ringo sio demo, ringo hajui kabisa anazuga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sensei Ringo kweli karate yake ni ya demo tu. Wanafunzi wa chikoko sijawah waona wanachofanya ila Jango kama BRN alivyokushauri wako safi kwa kiwango chao
Jango muongo tapeli kwenye karate kama ringo tusensei Ringo kweli karate yake ni ya demo tu. Wanafunzi wa chikoko sijawah waona wanachofanya ila Jango kama BRN alivyokushauri wako safi kwa kiwango chao
Chikoko mtafute mtandaoni utamuona kama ni mbabaishaji au ni mkweli, utajua kuhusu yeye halafu hao jango na ringo ualimu wa karate wameupatia wapi? hivi walishawahi kufika hata mkanda mweusi?sensei Ringo kweli karate yake ni ya demo tu. Wanafunzi wa chikoko sijawah waona wanachofanya ila Jango kama BRN alivyokushauri wako safi kwa kiwango chao
Mi namkubali zaidi Ringo coz yupo kiprofeshno zaidi. sijui siku hizi kama mambo yamebadilika maana mdau amesema mikanda inatolewa kimagumashi hiyo ni sifa mbaya kama ni kweli inabidi ajiangalie.
Nakumbuka alikuwa na kijana wake(mtoto wake) alianza kumfua tangia akiwa mdogo sana na sasa he is around 26 to 30yrs, yule dogo yupo fit balaa. alikuwa na black belt dani 2 kama sikosei.
So to me, Ringo is the best.
Toa sababu na vigezo.to me kwa msisitizo ringo hawezi hata kufundisha white belt
mkuu.naungana na ww asilimia.100 chikoko namkubali na ninamfaham kiwango cha chikoko anakwenda fanya shotokan popote duniani coz anaviwango vinavyotambulika.kidunia kwenye shotokani.to me kwa msisitizo ringo hawezi hata kufundisha white belt
mkuu.naungana na ww asilimia.100 chikoko namkubali na ninamfaham kiwango cha chikoko anakwenda fanya shotokan popote duniani coz anaviwango vinavyotambulika.kidunia kwenye shotokani.
ndio maana mm nilimtajia.tanganyika pekas kwa chikoko ingawa now wamehamia kwenye ukumbi wa ccm.
kwa tanzania hii chikoko anaongoza jamaa yupo vizuri sana.ndio huwa anawafundisha wanajeshi.husafiri nje mara nyingi sana kwaajili ya kuongeza ujuzi au kwenda kuchukua daraja jingine kwenye fan

Toa sababu na vigezo.
Mkuu Tanzania nzima Chikoko hana mpinzani kwenye Karate ??? Hiyo platform uliyoitumia ni general sana ,au ulimaanisha kwa ma sensei ??? Maana sidhani kama unajua Makomando wa JWTZ wako vipi ,unless wewe ndio una wa train ,kweli kabisa kaka, haya mambo ya kuwa danganya danganya watu sasa yaanze kuisha hawa wanaojiita waalimu ukiwaambia hata oi tsuki peke yakewaichambue kamwe hawatoweza, wala hawajui hata mfumo wanaoufwata, halafu watu wasivyojielewa kwa ujinga walio nao kuhusu hii sanaa wanasifia tu na wanakubali kudanganyika bila hata kutafiti kwa umakini. kwa tanzania chikoko hana mpinzani wala wa kufananishwa nae katika sanaa ya karate
Mkuu Tanzania nzima Chikoko hana mpinzani kwenye Karate ??? Hiyo platform uliyoitumia ni general sana ,au ulimaanisha kwa ma sensei ??? Maana sidhani kama unajua Makomando wa JWTZ wako vipi ,unless wewe ndio una wa train ,
Acha jazba soma unielewe kwani sanaa ya karate haifundishwi jeshini ?? Aliyesema kazi ya makomando ni kukunja ngumi ni nani ??sijui kama unaelewa ninachoongea naongelea sanaa ya karate sio kukunja ngumi na kupiga mtu, hilo kila mtu analiweza. ninachoongea mimi katika sanaa ya karate tanzania chikoko hana mpinzania, anaeweza kufikia taaluma yake na uwezo wa kiufundi
Acha jazba soma unielewe kwani sanaa ya karate haifundishwi jeshini ?? Aliyesema kazi ya makomando ni kukunja ngumi ni nani ??
Chikoko hana mpinzani ukimlinganisha na nani ??? Hao ma sensei wa Dar au ni kina nani hasa ??
Mkuu karate haifundishwi Jeshini ??sio jazba wala usielewe vibaya, nenda jeshini kaangalie utanipa jibu sio makomando wala wanajeshi wa kawaida "karate" haifundishwi jeshini, jeshini wanafundishwa kupigana kuvunja vitu kuwa sugu na kadhalika sio karate/karatedo yeye ni mwalimu ambae ameshawahi na bado anafundisha wanajeshi. kwa hiyo ninachokuambia sio mbwembwe. kujua kupiga na kujua ufanyaji wa karate ni vitu viwili tofauti na havina uhusiano
Acha jazba soma unielewe kwani sanaa ya karate haifundishwi jeshini ?? Aliyesema kazi ya makomando ni kukunja ngumi ni nani ??
Chikoko hana mpinzani ukimlinganisha na nani ??? Hao ma sensei wa Dar au ni kina nani hasa ??
Mkuu karate haifundishwi Jeshini ??
Anyway ngoja tu nikubaliane kutokukubaliana ,sawa uwe na jioni njema
Mkuu karate haifundishwi Jeshini ??
Anyway ngoja tu nikubaliane kutokukubaliana ,sawa uwe na jioni njema
Wala sijasema kujua kupiga na ufanyaji wa karate ni kitu kimoja ,ndio maana tuna Kung fu ,Karate,Kick box,gujuru nk ,zote ni mapigo ila kila moja ina sanaa zake
Haina kama tungeweza kurudi nyuma kidogo ningeweza kukuambia toa na JKT makao makuu (Shotoka). kama unaweza kuwapata wanafunzi advance wa DR. Chikoko Sensei ambao ni wanajeshi, na kama utapata fursa ya kuweza kuwauliza waulize jeshini wanajifunza sanaa gan? utapata jibu na utaelewa ninachokuambia