Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZAMANI MISIKITINI KULIKUWA NA MAMASTER WA MAPIGO YOTE SIJUI WAMEPOTELEA WAPI SIKU HIZIkwa wakazi wa dar mnaotaka kujifunza shaolin, gujuruw,tai chi,taekwondo,shaolinji,aekido wasiliana na masta scorpion anapatikana buguruni
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nenda Mbeya day kwa sensei mwalimu Msigwa, au Buguruni kwa master Scorpion
Naona unaandaa akina scorpionHabari wana JF
Nakaa Ubungo golani...kwa anayejua naomba anipe location ya dojo la karate mitaa ya uku nimpeleke mtoto wangu,seven Yrs Old.
Asante sana mkuu, nitaenda kuangaliaDOJO ZIKO NYINGI SANA DAR ES SALAAM NA ZA UKWELI KABISAA UKITAKA MAPIGO YA TAIKONDO NENDA CHUO KIKUU MLIMANI KUNA WAJAPANI WANA CHUO CHAO PALE WAKO VIZURI SANA NA UKITAKA KUNG FU,JUDO,SHOTOKAN,SHAOLIN NENDA KANISA LA ROMA MANZESE SHUKIA BIG BROTHER KANISA UTARIONA KULE KUNA MAPIGO HADI YA KUTUMIA MAPANGA NI NOUMA WAKO TOKA 1998 HUTOJUTA KWA HIZO SEHEMU 2 NILIZOKUTAJIA
pamoja mdau mie nilijifunza Karate miaka 13 iliyopita kwenye misikiti mikubwa buree kulikuwa na mamaster hataree wengi wako china kwasasaAsante sana mkuu, nitaenda kuangalia
wapo dodoma Confucius instituteWalimu wa Tai chi wapo kweli hapa nchini
Bro nilipiga kitambo sana na kuhama kabisa mbagala sasa cjui kama bado yupo alikuwa akifundishia kwenye yale magof ya cjui ni kiwanda au kilikuwa nini sikumbukiMkuu nielekeze vizur nina dogo langu hapa lipo kizembe zembe.
Ni msukume huko akachangamke
Unamuongelea Chris yule jamaa ana mwili mkubwa halafu ni msabato??Muone bwana mdogo mmoja anaitwa Criss ni mkurugenzi wa kampuni ya big muscles security jamaa yupo vzr sana kacheza SHOTOKANI,SHAORIN NA GUJURUU 0717161736
Vipi dodoma ,singida ,tabora na mwanza huko tunaweza pata dojo? huwa nakaa mikoa hio kwa wiki mbili tatu