Msaada: Dojo kwa hapa Dar es Salaam

kwa wakazi wa dar mnaotaka kujifunza shaolin, gujuruw,tai chi,taekwondo,shaolinji,aekido wasiliana na masta scorpion anapatikana buguruni
 
masta scorpion amekuja na staili mpya zinaitwa iron eyes with protecter
 
DOJO ZIKO NYINGI SANA DAR ES SALAAM NA ZA UKWELI KABISAA UKITAKA MAPIGO YA TAIKONDO NENDA CHUO KIKUU MLIMANI KUNA WAJAPANI WANA CHUO CHAO PALE WAKO VIZURI SANA NA UKITAKA KUNG FU,JUDO,SHOTOKAN,SHAOLIN NENDA KANISA LA ROMA MANZESE SHUKIA BIG BROTHER KANISA UTARIONA KULE KUNA MAPIGO HADI YA KUTUMIA MAPANGA NI NOUMA WAKO TOKA 1998 HUTOJUTA KWA HIZO SEHEMU 2 NILIZOKUTAJIA
 
kwa wakazi wa dar mnaotaka kujifunza shaolin, gujuruw,tai chi,taekwondo,shaolinji,aekido wasiliana na masta scorpion anapatikana buguruni
ZAMANI MISIKITINI KULIKUWA NA MAMASTER WA MAPIGO YOTE SIJUI WAMEPOTELEA WAPI SIKU HIZI
 
MAPGO AMBAYO BADO KUINGIA BONGO HAYA HAPA : TAI BOX,TAI CHI,MUNTAI,IP MAN,WIN CHU,MILITARY COMBAT,NINJA
 
Habari wana JF
Nakaa Ubungo golani...kwa anayejua naomba anipe location ya dojo la karate mitaa ya uku nimpeleke mtoto wangu,seven Yrs Old.
Naona unaandaa akina scorpion
 
Asante sana mkuu, nitaenda kuangalia
 
Asante sana mkuu, nitaenda kuangalia
pamoja mdau mie nilijifunza Karate miaka 13 iliyopita kwenye misikiti mikubwa buree kulikuwa na mamaster hataree wengi wako china kwasasa
 
Mkuu nielekeze vizur nina dogo langu hapa lipo kizembe zembe.
Ni msukume huko akachangamke
Bro nilipiga kitambo sana na kuhama kabisa mbagala sasa cjui kama bado yupo alikuwa akifundishia kwenye yale magof ya cjui ni kiwanda au kilikuwa nini sikumbuki
 
Muone bwana mdogo mmoja anaitwa Criss ni mkurugenzi wa kampuni ya big muscles security jamaa yupo vzr sana kacheza SHOTOKANI,SHAORIN NA GUJURUU 0717161736
Unamuongelea Chris yule jamaa ana mwili mkubwa halafu ni msabato??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…